21.a – maria kim

6
fertiliser CONTACT: Amiran Kenya Limited P. O Box 30327-00100 Nairobi www.amirankenya.com email: [email protected] TEL: 0719095000/226/327 Buy fertiliser poa ndiyo pia uweze kujipatia harvest safi... water tank + irrigation system 3. Sifa ni wapi huko unataka tujikate? Kuna place wanapanda nyanya, na I think ni njia poa sana ya ku-make mawinch. Sasa nyanya mtu anaanzaje kupanda? Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge! Uta-harvest baada ya miezi 3 Harvest early – 2 months Utaziuza bei poa na u-get profit! Buy mbegu poa. Utaziuza kwa muda mreeefu!! Hizi nyanya zina-taste poa na zina demand! Ina-sound kama dooh mob lakini mkiwa kwa group, mnaweza apply-ia loan. Vitu zikienda poa, mtalipa hiyo loan mkianza ku-make dooh ya maana! KU-START UTA NEED... Amiran Kenya Ltd greenhouse Penye uta-control environment ya mimea yako. Pia ni rahisi ku-control pests kwa greenhouse. 1. Ni rahisi kuzi-install na ina-economise utumizi ya maji. Pia utawezaku-store maji. 2. * cheki meaning kwa sheng dictionary KUPANDA NYANYA NI IDEA KALI SANA... CHEKI REASONS * * hawa pia wanaweza ku-help... 3 Mkutano ya Sifa

Upload: well-told-story

Post on 26-Mar-2016

294 views

Category:

Documents


0 download

DESCRIPTION

Mkutano ya Sifa

TRANSCRIPT

Page 1: 21.a – Maria Kim

fertiliser

CONTACT: Amiran Kenya LimitedP. O Box 30327-00100 Nairobiwww.amirankenya.comemail: [email protected]: 0719095000/226/327

Buy fertiliser poa ndiyo pia uweze kujipatia harvest

safi...

water tank + irrigation

system

3.

Sifa ni wapi huko unataka tujikate?

Kuna place wanapanda nyanya, na I think ni njia

poa sana ya ku-make mawinch.

Sasa nyanya mtu anaanzaje

kupanda?

Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!

• Uta-harvest baada ya miezi 3 Harvest early – 2 months• Utaziuza bei poa na u-get profit!• Buy mbegu poa. Utaziuza kwa muda mreeefu!! • Hizi nyanya zina-taste poa na zina demand!

Ina-sound kama

dooh mob lakini

mkiwa kwa group,

mnaweza apply-ia

loan. Vitu zikienda

poa, mtalipa hiyo

loan mkianza

ku-make dooh

ya maana!

KU-START UTA NEED...

Amiran Kenya Ltd

greenhouse

Penye uta-control

environment yamimea yako.

Pia ni rahisi ku-control pests kwa

greenhouse.

1.

Ni rahisi

kuzi-installna ina-economise

utumizi ya maji. Pia utawezaku-store

maji.

2.

* cheki meaning kwa sheng dictionary

KUPANDA NYANYA NI IDEA KALI SANA...…

CHEKI REASONS…

**

hawa pia wanaweza ku-help...

3

Mkutano ya Sifa

Page 2: 21.a – Maria Kim

Eh, sibebangi viwete, hawalipangi gari! Dere twende!

Ai?! Huyu si kiwete, ni mlemavu,

unaongeaje?!

Mbona wasee wanadharau

walemavu hivi?!

Hata ndio hii matatuimefika...

Hiyo place ni far sana!

Afadhali ningekuwa na wheelchair!

Hii imekuwa too much! Maria Kim,

nisaidie kuita wasee, nataka kuwa-show reality juu ya kuwa

mlemavu kwa hii society.

Poa! nitakusanya wasee u-meet

na hao.

4

Page 3: 21.a – Maria Kim

Niaje Ibra! Na-organize

ka-mkutano ya kuchanua wasee juu ya ulemavu. Utatokelezea?

Poa! Lazima nitokelezee.

Sema Caro! Umeskia juu ya

ile meeting napanga? Uta-come?

Lazima ni-come

niwakilishe!

I wish tunaweza get-ia Sifa wheelchair. Si twende tu-research kwa internet juu ya funds za

wasee disabled?

Wazi!

Deno, una-come ile

meeting?

Sifa ni wewe? Nitakuja!

Manze, sioni…

Ngoja, tuendelee ku-search usi-quit!

Ebu cheki hapa…ni kama wana-empower disabled people…

5

Page 4: 21.a – Maria Kim

6

Page 5: 21.a – Maria Kim

Poleni nimechelewa na asanteni kwa ku-come… Nimewaita huku

kuwa-show juu ya wasee wengine

wenye huwa tunawasahau,

yet...

wana talents poa zenye

zinaweza inua hii community…

Huyu ni Caro, anashona nguo vipoa na

cherahani yake…na huyu ni Ibra, artist mnoma kabisa. Na

Deno hapa ana sauti poa sana…

7

Page 6: 21.a – Maria Kim

mayuts pamoja tuta-achieve anything.

Form group ili m-change na mupande nyanya - ili mu-make

dooh!

Try hii ideana u-show

DJ B!!sms3008nyanya

TUMA

SMS KWA 3008 NA VIEWS ZAKO UKIANZA NA NENO NYA

NYA

8