instru manual english - codes

47
ANNEX TO SECTION 5 OF FORM I KIELELEZO CHA SEHEMU 5 YA FOMU I Furniture Fenicha Geresho 20401 Beds Vitanda 20402 Chairs, sofas Viti, makochi 20403 Tables Meza 20404 Cupboards, shelves Kabati ya vyombo 20405 Wardrobes, bookcases Kabati za nguo, kabati za vitabu 20406 Chests of drawers, Makabati ya madroo, maboksi n.k boxes etc. 20407 Mirrors Vioo 20408 Wall-clocks Saa za ukutani 20409 Pictures, carvings and Picha, vinyago na mapambo other decorations mengine 20410 Lamps, lampshades Taa na mapazia ya taa 20411 Carpets, rugs, mats, Mazulia, busati, mikeka, linoleum etc. majamvi, n.k. 20412 Animal skins Ngozi za wanyama 20413 Other furniture Fenicha nyingine 20414 Repairs to furniture Ukarabati wa fenicha Linen, bed - clothes Vitambaa vya kutandika, mashuka ya vitanda 20501 Sheets, pillow-cases Mashuka, foronya 20502 Blankets Mablanketi 20503 Towels Taulo 20504 Table-cloths, napkins Vitambaa vya mezani, vya kulia 20505 Bedspreads, covers Mashuka ya juu ya kitanda 20506 Curtains Mapazia 20507 Pillows Mito 20508 Mattresses Magodoro 20509 Mosquito nets Vyandarua 34

Upload: lalapo1100

Post on 01-Dec-2014

319 views

Category:

Documents


8 download

TRANSCRIPT

ANNEX TO SECTION 5 OF FORM I KIELELEZO CHA SEHEMU 5 YA FOMU I

Furniture Fenicha

Geresho

20401 Beds Vitanda20402 Chairs, sofas Viti, makochi20403 Tables Meza20404 Cupboards, shelves Kabati ya vyombo20405 Wardrobes, bookcases Kabati za nguo, kabati za vitabu20406 Chests of drawers, Makabati ya madroo, maboksi n.k

boxes etc.20407 Mirrors Vioo20408 Wall-clocks Saa za ukutani20409 Pictures, carvings and Picha, vinyago na mapambo

other decorations mengine20410 Lamps, lampshades Taa na mapazia ya taa20411 Carpets, rugs, mats, Mazulia, busati, mikeka,

linoleum etc. majamvi, n.k.20412 Animal skins Ngozi za wanyama20413 Other furniture Fenicha nyingine20414 Repairs to furniture Ukarabati wa fenicha

Linen, bed - clothes Vitambaa vya kutandika, mashuka ya vitanda

20501 Sheets, pillow-cases Mashuka, foronya20502 Blankets Mablanketi20503 Towels Taulo20504 Table-cloths, napkins Vitambaa vya mezani, vya kulia20505 Bedspreads, covers Mashuka ya juu ya kitanda20506 Curtains Mapazia20507 Pillows Mito20508 Mattresses Magodoro20509 Mosquito nets Vyandarua20510 Other linen and bedclothes Mashuka na vitambaa vingine

Household durables Vifaa vya nyumbani

20601 Charcoal stove Jiko la mkaa20602 Kerosene stove Jiko la mafuta ya taa20603 Gas cooker Jiko la gesi20604 Electric cooker Jiko la umeme20605 Refrigerator, freezer Jirafu, jokofu20606 Air-conditioner, fan Mashine ya kupoza hewa, pangaboi20607 Water-heater, washing mashine ya kuchemsha maji,

and drying machine mashine ya kufulia na kukaushia20608 Sewing machine Cherehani

34

20609 Iron (charcoal or electric) Pasi ya mkaa/umeme20610 Other household durables Vifaa vingine vya nyumbani20611 Repairs to household Ukarabati wa vifaa vya nyumbani

durables

Other household equipment Vyombo vingine vya nyumbani

20701 Pots, pans, bowls, Sufuria, mabakuli, birika ya batikettle of metal

20702 Pots of clay for Vyungu vya kupikia na kuwe- cooking and water kea maji

20703 Wooden bowls, trays and Bakuli za mbao, masinia na other wooden utencils/ vyombo vingine vya nyumbani equipments (eg kinu etc) vya mbao (k.m. kinu n.k.)

20704 Dishes, plates Madishi, sahani 20705 Cups, glasses, mugs Vikombe, glasi, vikombe vikubwa20706 Knives, forks, spoons, Visu, uma, vijiko na vifaa vya nyumbani

household tools20707 Thermos flask Chupa ya chai20708 Torches, batteries, bulbs Tochi, betri, glopu/balbu 20709 Lanterns,other lighting karabai,koroboi na chemli

equipments using na vyombo vingine kerosene vitumiavyo mafuta ya taa20710 Baskets, washing tabs etc. Vikapu, mikeka, n.k.20711 Brooms, brushes Fagio za vumbi, brashi za

kusugulia sakafu20712 Other household equipment Zana zingine za nyumbani

Clothing and footwear Mavazi na viatu

Clothing for men and boys Mavazi ya wanaume wa 15 years and over miaka 15 na zaidi

30101 Khanzus Kanzu 30102 Hats, caps, turbans Kofia, vilemba n.k.30103 Suits, Kaunda suits Suti, suti ya kaunda30104 Trousers Suruali30105 Shorts Kaptula30106 Sarong Kikoi/shuka30107 Jackets Jaketi30108 Pullovers Sweta30109 Coats, winter coats Makoti, makoti ya baridi30110 Rain coats Makoti ya mvua30111 Shirts Mashati30112 Underwear, Vest, Chupi, fulana za

T-Shirts ndani/nje 30113 Socks, neckties, Soksi, tai, leso za mkononi

handker-chiefs30114 Other ready-made clothes Nguo zingine za tayari 30115 Night-dress Nguo za kulalia30116 Cloth, cotton Kitambaa cha pamba

35

30117 Cloth, other Kitambaa cha aina nyingine30118 Tailoring of new clothes Mashono ya nguo mpya30119 Repairs to clothing and Ukarabati wa nguo/viatu

shoes30120 Leather shoes, boots Viatu vya ngozi, buti30121 Other men's footwear Aina nyingine za viatu vya kiume

Clothing for women and girls Mavazi ya wanawake wa 15 years and over miaka 15 na zaidi

30201 Khanga Kanga30202 Kitenge Kitenge30203 Sarees Sare za kihindi30204 Other national garments Mavazi mengine ya kitaifa30205 Dresses, frocks, gowns Nguo za kike, magauni 30206 Trousers Suruali30207 Skirts Sketi30208 Blouses Blauzi30209 Overcoats Makoti ya juu30210 Head gear Vitambaa vya kichwani30211 Scarves, shawls Skafu, mitandio 30212 Underwear, brassier Chupi za ndani, sidiria30213 Stockings, socks, handker Soksi ndefu, soksi, leso ya mkononi

chiefs30214 Other ready-made clothes Nguo mpya za tayari30215 Night-dresses Nguo za kulalia30216 Cloth, cotton Kitambaa cha pamba30217 Cloth, other Kitambaa cha aina nyingine30218 Tailoring of new clothes Mashono ya nguo mpya30219 Repairs to clothing/ Ukarabati wa nguo na viatu

shoes30220 Leather shoes Viatu vya ngozi30221 Other footwear for women Viatu vingine vya kike

36

Clothing for children under Nguo za watoto chini ya 15 years miaka 15

30301 Shorts, trousers, suits Kaptula, suruali, suti30302 Dresses, frocks, gowns Nguo za kike, shumizi, magauni30303 Skirts Sketi30304 Shirts, blouses Mashati, blauzi30305 Sweaters Sweta30306 Socks, handkerchiefs Soksi, leso za mikononi30307 Underwear, brassiere Chupi, sidiria30308 Baby clothes, nappies Nguo za watoto, nepi30309 Other ready-made clothes Nnguo nyinginezo za tayari 30310 Cloth, cotton Nguo za pamba 30311 Cloth, other Nguo nyinginezo30312 Tailoring new clothes Mashono ya nguo mpya30313 Repairs to clothing/shoes Ukarabati wa nguo/viatu 30314 Footwear Viatu

Other personal effects Vitu vingine vya binafsi

30401 Yarn and sewing material Bidhaa za kushonwa na kusukwa30402 Umbrellas, gloves Miavuli, Maglovu30403 Handbags, wallets, purses, Begi, mikoba, pochi, mikanda

belts30404 Watches Saa30405 Sun-glasses Miwani za jua30406 Jewellery Vito vya thamani k.m.

mikufu bangili, hereni30407 Other personal effects Vitu vingine vya binafsi

Miscellaneous consumption and Matumizi mengine na Non - consumption money outlays Yasiyo ya kula

Medical care Matibabu

40101 Government hospitals, Hospitali za serikali, dispensaries (Vaccina- zahanati (chanjo n.k.)tion etc.)

40102 Other hospital dispensaries Hospitali/zahanati zingine 40103 Private practitioners Hospitali za watu binafsi40104 Traditional healers Waganga wa jadi40105 Traditional medicine Madawa ya kienyeji40106 Dentistry, eye-testing, Uganga wa meno/upimaji macho, miwani

spectacles40107 Prescribed medicine Dawa zilizoidhinishwa na daktari40108 Household medicine Dawa za matumizi ya nyumbani40109 Other medical cares Huduma nyingine za matibabu

Personal care Usafi wa mwili 37

40201 Toilet soap Sabuni ya kuogea40202 Tooth-pastes Dawa ya meno40203 Hair-tonic, shaving cream Mafuta ya nywele, sabuni ya kunyolea40204 Razor, shaving-blades, Wembe, vifaa vya kunyolea nywele, ndevu

shaving equipments 40205 Perfumes Manukato40206 Lipstick, face-cream, Rangi ya mdomo, mafuta ya uso, poda

powder40207 Combs, hair-brushes, Shanuo, vitana, miswaki

tooth brushes 40208 Toilet paper Karatasi za chooni40209 Toilet articles for babies Vitu vya kufanyia usafi wa mtoto40210 Hair-dressing for men Kinyozi kwa wanaume40211 Simple hair dressing for Msusi/kinyozi kwa wanawake

women msuko, kukata nywele)40212 Services of beauty Huduma za msusi, urembo

saloons40213 Make-up kits and Vipodozi na mapambo

Cosmetics 40214 Hair clip Kibanio cha nywele40215 Hair drier, curling Mashine ya kukaushia/kute-

ngenezea nywele40216 Other household and Vifaa vingine vya usafi wa

personal care nyumba na mwili

Education Elimu

40301 Shool fees Ada za shule40302 School uniform, equip- Sare za shule, vifaa,

ments, school books Vitabu vya shule, michango isiyo ya hiari (isiyo ya lazima)

40303 Food at school Chakula shuleni40304 Other expenses (extra Matumizi mengine (mafunzo

class/tuition) ya ziada40305 Other in-kind expenses Michango ya hiari mingine

Entertainment and Recreation Burudani na starehe

40401 Books (not school books) Vitabu (visivyo vya shule) 40402 Magazines, newspapers Magazeti, majarida40403 Radio,rediogram,TV Redio Rediogramu, televisheni40404 Record/cassette-player, Redio kaseti, tepu rekoda

tape recorder40405 Records, tapes, cassettes Santuri, kanda za kunasia

musical instruments sauti, kaseti, vifaa vya muziki 40406 Sports equipment,toys, Vifaa vya michezo, wanasesere

garden things vifaa vya kupumzikia/kuchezea katika bustani40407 Films, prosessing of Filamu, kamera, darubini n.k.

films cameras, binoculars40408 Repairs to above Ukarabati wa vitu vilivyo tajwa hapo juu

38

40409 Studio photography Nyumba ya kusafishia picha40410 Cinema, theatre Sinema, ukumbi wa michezo ya kuigiza40411 Subsciptions to sport Uanachama wa vilabu vya

and clubs other associations michezo na vyama vingine40412 Dogs, cats and other pets Mbwa, paka, n.k. 40413 Other recreation and Shughulinyingine za

entertainment burudani/starehe

Transport Usafiri

40501 Private car, motor- Gari la binafsi, pikipiki, cycle, scooter sukuta/vespa

40502 Bicycle Baiskeli40503 Petrol, oil etc Petroli, oili, n.k.40504 Repair and maintenance Utengenezaji na uwekaji

of vehicle including gari katika hali nzurispare parts pamoja na vipuri/spea

40505 Registration tax, road Kodi ya usajili, barabara, tax, driving licence, leseni ya kuendeshea, bimavehicle insurance ya chombo cha usafiri

40506 Train fares Nauli za gari moshi40507 Bus, lorry fares Nauli za mabasi na malori40508 Taxi fares Nauli za teksi40509 Boat fares Nauli za mitumbwi na meli40510 Air-fares, including Nauli za ndege na ushuru wa

airport fee uwanja wa ndege Cleaning materials etc Vifaa vya usafi, n.k.

40701 Detergents, in powder or Sabuni za unga au majiliquid

40703 Laundry soap Sabuni za kufulia 40704 Cleansing and scouring Sabuni na madawa ya chooni, n.k.

powders for toilet etc40705 Inseticides, sprays, and Dawa za kuulia wadudu, za

coils for house kunyunyizia na kufukiza 40706 Polish for floor, Dawa ya kung'arisha sakafu,

furniture, shoes, etc. fenicha, viatu, n.k.40707 Other materials for house Vifaa vingine vya nyumbani

Domestic household services Huduma za nyumbani

40801 Laundry, dry-cleaning Vyombo vya kufulia/kufulia kwa mvuke40802 Domestic servants (non- Watumishi wa nyumbani (siyo

member of the household) wanakaya)40803 Other domestic household Matumizi mengine ya huduma

services (eg Fumigations nyumbani (kama kunyunyizia dawa,n.k.) etc.)

39

Cigarettes and tobacco Sigara na tumbaku

40901 Cigarettes Sigara40902 Snuff Ugoro40903 Pipe tobacco, pipes Tumbaku ya kiko, viko40904 Other smokables Vitu vingine vya kuvuta

Contributions to religions and Michango katika vyama vya other organizations kidini na vinginevyo

41001 Mass organizations fees Mchango wa mshikamano 41002 Religions contributions Michango ya kidini, zaka, sadaka41003 Professional societies/ Mchango katika vyama vya

associations contributions kitaalamu 41004 Parents associations Mchango katika jumuia za wazazi41005 Another contributions Michango mingine

Other expenditure on services Matumizi mengine kwa ajili ya huduma

41101 Legal fees Ada ya huduma za kisheria41102 Other services expenditures Malipo mengine ya huduma Telephone and postage Simu na stempu

40601 Telephone, telegrams Simu za mdomo, maneno 40602 Stamp and other postal Stempu na gharama zingine

services za posta

Taxes, fines, repayment of debts Kodi, faini, malipo ya mkopo

50101 Income tax Kodi ya mapato50102 House-tax, site-tax Kodi ya nyumba, kodi ya uwanja50103 Development levy Kodi ya maendeleo50104 Estate duty Ushuru wa eneo/shamba50105 Capital gains tax Kodi ya mtaji 50106 Sales tax Kodi ya mauzo50107 Stamp duty Ushuru wa stempu50108 Land rent Kodi ya umilikaji ardhi50109 Hotel levy Kodi ya huduma za hotel50110 Other taxes and fines Kodi na faini nyinginezo50111 Local voluntary contri- Michango ya hiari

butions to funds50112 Payment of debts for Malipo ya mkopo wa vitu/huduma

goods/services50113 Repayment of other loans Malipo ya mikopo na riba

including interest

40

Losses Hasara, uharibifu

50201 Theft Wizi50202 Rotary, gambling Kamari50203 Other losses Hasara nyinginezo

Money transfers Uhamishaji wa fedha

50301 Remittance to relative Msaada wa fedha kwa jamaa50302 Gifts to others (not Zawadi (kwa wasio wanakaya)

household members)50303 Dowry (bride price) Mahari50304 Contributions for wedd- Michango ya harusi, mazishi

ings, funerals and other na sherehe nyinginezo ceremonies

50305 Other expenditure on Matumizi mengine ya fedha gifts and presents kwa ajili ya zawadi

50306 Social security and Mchango wa akiba ya uzeeni pensions funds contri- na kiinua mgongo butions

50307 Insurance premiums Mchango wa bima50308 Other premium payments Michango mingine

Savings Akiba

50401 Deposits to Commercial Kuweka akiba ya pesa katika Bank (NBC, CRDB, THB, benki za biashara, ushirika etc.) na maendeleo vijijini, nyumba n.k.

50402 Deposits to Post Office Kuweka akiba katika benki ya akiba ya posta,

Savings banks Kuweka akiba katika bank 50403 Savings in Credit Unions Kuweka akiba katika vyama vya kukopa

50404 Savings in Cooperatives Kuweka akiba katika vyama vya ushirika

50405 Savings in Village Deve- Kuweka akiba katika mifuko lopment Fund ya maendeleo vijijini

50406 Shares, bonds Malipo ya ubia, n.k.50407 Comunity trusts Mifuko ya msaada ya kijamii50408 Government securities Dhamana za kiserikali50409 Life insurance Bima ya maisha50410 Loans given out Mikopo iliyotolewa50411 Informal savings Vibati/Upatu/mchezo (kukweka akiba katika

mfumo usio rasmi)

Investments Uwekaji rasilimali

50501 Purchase of plot for own Ununuzi wa kiwanja kwa house and for own farm ajili ya nyumba na shamba lako

50502 Purchase of iron sheets Ununuzi wa mabati kwa ajili 41

for building of own ya kuezekea/kurekebishia/-house/alteration/exten sion kupanulia nyumba yako

50503 Purchase of asbestos for Ununuzi wa mabati ya asbestos kwa ajili ya building of own - house/ kuezekea/ kurekebishia/kupanua nyumba yakoalteration/extension

50504 Purchase of roofing Ununuzi wa vigae kwa ajili building of own ya kuezekea/kurekebishia/house/alteration/extension kupanulia nyumba yako

50505 Purchase of timber for Ununuzi wa mbao kwa ajili building of own ya kuezekea/kurekebishia/ house/alteration exten sion kupanulia nyumba yako

50506 Purchase of cement for Ununuzi wa saruji kwa ajili building of own ya kujengea/kurekebishia/ house/alteration extension kupanulia nyumba yako

50507 Purchase of other builing Ununuzi wa vifaa vingine materals for build- vya ujenzi kwa ajili yaing of own house/alter- kujengea/kurekebishia/ation extention kupanulia nyumba

50508 Costs of labour of Gharama za kujenga/kure- building of own house/ kebishia/kupanua nyumba yako alteration extension

50509 Other investments Rasilimali nyingine

Production Costs in Cash Gharama za uzalishaji 60101 Purchase of Tractor and Ununuzi wa trekta na vifaa

its tools vya kulimia60102 Purchase of ox-plough Ununuzi wa jembe la kukoko-

and its tools twa na ng'ombe na vifaa vyake

60103 Purchase of animals, poultry Ununuzi wa wanyama, ndege wa kufugwa60104 Purchase of animals for Ununuzi wa wanyama kwa

draughting purposes ajili ya kukokotea plau, mikokoteni, n.k. 60105 Purchase of fishing Ununuzi wa mitumbwi ya

boats kuvulia samaki60106 Purchase of fishing gear Ununuzi wa zana za kuvulia 60107 Purchase of hand cart or Ununuzi wa mkokoteni au

wheelbarrow toroli60108 Purchase of ox-cart Ununuzi wa mkokoteni wa kuvutwa na ng'ombe60109 Purchase of Fertilizers Ununuzi wa mbolea60110 Purchase of Insecticide Ununuzi wa dawa za kuulia wadudu60111 Purchase of Seeds Ununuzi wa mbegu60112 Purchase of fodder for Ununuzi wa vyakula vya

animals, poultry feeds wanyama/ndege60113 Purchase of veterinary Ununuzi wa madawa ya mifugo

drugs and services huduma za mifugo k.m. josho 60114 Purchase of raw materi- Ununuzi wa pembejeo/mali ghafi

als inputs60115 Purchase of stocks of Ununuzi wa vitu kwa wingi

roducts sold by households vinavyouzwa na kaya60116 Salary/wage paid out Mshahara/ujira unaolipa

42

for work done on own kwa kazi iliyofanyika enterprise (eg farm etc) katika mradi wako (k.m. shamba n.k.)

Hire of Farming equipment and Ukodishaji wa zana za other equipments kilimo na vifaa vingine

60201 Hire of Tractor, plough Kukodisha trekta, plau na and other farming tools zana na zana nyingine za

kilimo60202 Hire of car/lorry (for Ukodishaji gari ndogo/lori

carrying farm products) (kubebea mazao ya shamba)60203 Hire of hand/ox-carts Ukodishaji wa mkokoteni wa

kuvutwa na ng'ombe/mkono60204 Repairs and Maintenance Utengenezaji na uangalizi

of tractors/plough wa trekta/plau

43

ANNEX TO BLOCK 7 OF FORM I

DOMESTIC INCOME

1. Primary Income 1.1 Income from employment (in cash)

90101 Wages & Salaries90102 Allowances e.g. Acting, travelling (used for household purpoes only) etc.90103 Directors fees90104 Bonuses90105 Estimated taxes and social security contributions period (if wage quoted

post-tax)90106 Other incomes from employment in cash

1.2 Income from employment (in kind)

90201 Value of payment received in the form of food, crops, and animals90202 Value of payment received in the form of subsidized housing90203 Value of payment received in the form of subsidized transport90204 Value of payment received in other forms (e.g. uniforms, washing soap etc.) 90205 Employer's contribution to social security and similar schemes 1.3 Income from non-farm self employment

90301 Gross revenue received in cash from services given out90302 Gross revenue received in cash from sales of purchased goods (not own

produced)90303 Gross revenue received in cash from sales of goods made by the household90304 Gross revenue received in cash from sales of gathering, hunting and fishing

products as well as other activities 90305 Revenue received in the form of goods and services90306 Value of domestic consumption of output90307 Amount of cash income used for household purposes/domestic consumption

1.4 Household agricultural income

90401 Revenue received in cash from sale of staple grains, field crops and cash crops (including mabua)

90402 Revenue received in cash from sale of roots, fruits, vegetables and other crops harvested piecemeal

90403 Revenue received in cash from sale of processed or transformed own crop products

90404 Revenue received in cash from sale of livestock and livestock products (including samadi)

90405 Value of consumption of own agricultural (and live-stock) produce

1.5 Income of members from producers' cooperatives44

90501 Revenue received in cash from non-farm producers' cooperatives90502 Revenue received in form of goods/services from non-farm producers'

cooperatives90503 Revenue received in cash from agricultural from produ-cers' cooperatives90504 Revenue received in form of goods/services from agricultural farm producers'

cooperatives

2. Property income received

2.1 Imputed rent of owner occupied dwellings

91101 Imputed rent of owner occupied dwellings

2.2. Interests

91201 Interests from savings and deposit accounts91202 Other interests received (e.g. from sources as bonds and loans given to other

prices)

2.3 Dividends

91301 Dividends received

2.4 Rent received

91401 Cash income from renting house91402 Cash income from renting land91403 Cash income from renting draught animals91404 Cash income from renting agricultural equipments91405 Cash income from renting assets of non-farm enterprises91406 Value of received in form of goods and services91407 Value of imputed rent from own occupied dwellings

3. Current transfers and other benefits received

92101 Cash received as accident, injury, sickness and disability benefits from employer or other authority

92102 Cash received as family allowances from employer92103 Cash received from other social assistance grants92104 Cash received from pension schemes and insurance annuity; interests92105 Cash received from other current transfers (e.g. kibati/upatu/mchezo etc.) 92106 Value of Remittances received

4. Other receipts

93101 Gifts received in cash93102 Cash from sale of possessions (e.g. used furniture, household appliances etc)93103 Withdrawal from savings93104 Cash received from lottery prizes93105 Loans obtained

45

93106 Loans repayment93107 Compensation received93108 Lump-sum inheritances93109 Maturity payment (other than annuities) of life insurance policies93110 Other lump-sum payments (e.g. dowry, gratuities, value of educational

scholarships etc)

46

KIELELEZO CHA FOMU II

ANNEX TO HOUSEHOLD DIARY (FORM II) KIELELEZO CHA FOMU II

CODES OF ITEMS CONSUMED, SERVICESDONE, AND INCOME (IN CASH OR IN KIND)

CODE NAME OF ITEM JINA LA KITU

Food and Drinks Consumption - Vyakula na Vinywaji

Cereals Nafaka

10101 Paddy Mpunga10102 Rice, husked Mchele10103 Green maize cob Mahindi mabichi10104 Maize, grain Punje za mahindi 10105 Maize, flour Unga wa mahindi 10106 Millet, grain Punje za ulezi10107 Millet, flour Unga wa ulezi10108 Sorghum, grain Punje za mtama10109 Sorghum, flour Unga wa mtama10110 Wheat, grain Punje za ngano 10111 Wheat, flour Unga wa ngano10112 Barley and other Shayiri na nafaka nyingine cereals10113 Cost of grinding Gharama ya kusaga

Cereal Products Bidhaa zitokanazo na nafaka

10201 Bread Mkate10202 Baby foods excluding milk Vyakula vya watoto, ukiondoa maziwa10203 Biscuits Biskuti10204 Buns, cakes, small Maandazi, keki, mkate mdogo

breads, etc.10205 Macaroni, spaghetti Makaroni, tambi10206 Cooking oats, corn Bidhaa nyingine za nafaka

flakes and other cerealproducts

Starchy roots and starches Vyakula vya wanga vya mizizi na wanga

10301 Cassava fresh Mihogo mibichi10302 Cassava dry Mihogo mikavu10303 Cassava flour Unga wa mihogo10304 Sweet potatoes Viazi vitamu10305 Yam, cocoyam Viazi vikuu, magimbi 10306 Potatoes Viazi mviringo

47

10307 Cooking bananas, plantains Ndizi za kupikwa (mbichi au mbivu) 10308 Other starches Vyakula vingine vya wanga

Sugar and sweets Sukari na bidhaa za sukari

10401 Sugar/sukari guru Sukari/sukari guru 10402 Honey Asali10403 Syrup, jams marmalade, Juisi nzito, jemu, choko eti,

jellies, chocolate, sweets peremende na bidhaa nyingine za sukari

Pulses, dry Mazao ya jamii ya kunde

10501 Peas, dry Kunde kavu10502 Beans, dry Maharage makavu10503 Lentils and other pulses Choroko na aina nyingine za

mazao ya jamii ya kunde10504 Pulse products (e.g. bidhaa zitokanazo na jamii

bagia, etc) ya kunde (k.m. bajia n.k.)

Nuts Mbegu zenye nazi

10601 Groundnuts in shell Karanga za maganda10602 Groundnuts, shelled Karanga zilizomenywa10603 Coconuts, mature Nazi, zilizokomaa10604 Coconuts, immature Nazi, madafu10605 Cashewnuts Korosho10606 Almonds and other nuts Mbegu nyingine zenye nazi

Seeds Mbegu

10701 Sesame seeds Mbegu za ufuta10702 Sunflower seeds and Mbegu za alizeti na nyinginezo

others10703 Products from nuts and Mazao yatokanayo na mbegu

seeds excluding cooking zenye nazi na mbegu nyingine isipokuwa oils (e.g. Kashata, etc) mafuta ya kupikia (k.m. kashata, ladu n.k.)

Vegetables Mboga

10801 Carrots Karoti10802 Radishes,beets, turnips Figili, kotimiri 10803 Garlic Vitunguu saumu10804 Onions Vitunguu maji10805 Leeks Aina nyingine ya vitunguu10806 Spinach Mchicha10807 Lettuce Aina nyingine za mchicha10808 Cabbage Kabichi10809 Other leafy vegetables Mboga zingine za majani10810 Tomatoes Nyanya10811 Bitter tomatoes Nyanya chungu/ngogwe

48

10812 Ladies fingers/Okra Bamia10813 Cauliflower Mboga kama uyoga10814 Cucumber, pumpkins Matango, maboga10815 Brinjals, eggplant Bilinganyi10816 Green peas, shelled Kunde mbichi zilizomenywa10817 Green beans, shelled or Maharage mabichi yaliyo/ya-

in pods siyomenywa10818 Fresh green peper Pilipili mbichi10819 Other cultivated vegeta bles Mboga zingine za majani 10820 Other wild vegetables Mboga pori10821 Dried vegetables Mboga zilizokaushwa10822 Canned vegetables Mboga za kwenye makopo

Fruits Matunda

10901 Sweet bananas, ripe bananas Ndizi kisukari, ndizi mbivu 10902 Oranges, tangerines Machungwa, machenza10903 Grapefruits, lemons, Zabibu, limau, mapera, ndimu

guavas, limes 10904 Mangoes, avocado pears Maembe, maparachichi, peasi10905 Pawpaw Papai10906 Pineapples Mananasi10907 Melons Matikiti10908 Sugar canes Miwa10909 Jack fruit Fenesi10910 Apples, pears Maepo, mapeasi10911 Other cultivated fruits Aina nyingine za matunda

yalimwayo10912 Other wild fruits Aina nyingine za matunda pori10913 Dried fruits Matunda yaliyokaushwa10914 Canned fruits Matunda ya kwenye makopo

Meat, meat products, poultry Nyama, mazao ya nyama, ndege and insects wafugwao, na wadudu

11001 Goat, sheep Mbuzi, kondoo11002 Cattle meat, including Nyama ya ngombe, pamoja na

mince sausages ya kusaga, n.k. 11003 Pork, including sausages, Nyama ya nguruwe

bacon11004 Other domesticated animals Wanyama wengine wafugwao 11005 Wild animals Wanyama pori11006 Offal (liver, kidney, etc) Ini, wengu, figo n.k.11007 Dried or salted meat Nyama iliyokaushwa/tiwa chumvi11008 Canned meat Nyama ya kwenye makopo11009 Other meat products Mazao mengine ya nyama11010 Chicken and other poultry Kuku na jamii ya ndege wafugwao11011 Wild birds and insects Ndege pori na wadudu11012 Eggs Mayai

49

Fish and shellfish Samaki na samaki wenye magamba

11201 Fresh fish Samaki wabichi11202 Shell fish Samaki wenye magamba k.m.

kamba, chaza n.k.11203 Fresh dried fish Samaki wa kukaanga11204 Dried or salted fish/ shellfish Samaki mkavu/aliyetiwa chumvi11205 Canned fish/shellfish Samaki wa makopo

Milk and dairy products excluding butter Maziwa na mazao mengine yatokanayo na maziwa isipokuwa siagi

11301 Fresh milk Maziwa mabichi11302 Cream Samli11303 Cheese Jibini11304 Yoghurt Maziwa ya mgando/mtindi11305 Canned milk Maziwa ya makopo11306 Milk powder Maziwa ya unga

Oils and Fats Mafuta ya kula na samli

11401 Cottonseed oil Mafuta ya pamba11402 Groundnuts oils Mafuta ya karanga11403 Sesame/Sunflower oil Mafuta ya ufuta/alizeti11404 Coconut cooking oil Mafuta ya nazi11405 Other cooking oil Mafuta mengine ya kupikia11406 Butter, ghee Siagi11407 Margarines cooking fat Samli ya kupikia11408 Other oil and fat products Mafuta na bidhaa nyingine za samli

Spices and other foodstuffs Viungo na vyakula vingine

11501 Red pepper/Black pepper Mmasala/viungo11502 Curry powder Binzari11503 Other spices Viungo vingine11504 Salt Chumvi11505 Vinegar Siki, achari11506 Yeast, baking powder Hamira, unga wa kuumulia11507 Cocoa, cooking chocolate Kakao, chokoleti ya kupikia11508 Purchased/prepared meals Vyakula vingine vitayarish-

consumed at home wavyo kwa matumizi ya nyumbani11509 Other foostuffs Vyakula vingine

Raw materials for drink Mahitaji ya kinywaji

11601 Tea dry Majani ya chai makavu11602 Coffee (beans or ground) Kahawa (buni au iliyosagwa) 11603 Instant coffee Kahawa laini ya unga11604 Other raw material for drinks Mahitaji mengine ya vinywaji

50

Non - alcoholic drinks and other Vinywaji vingine visivyo beverages consumed at home vileo vinywewavyo nyumbani

11701 Bottled soft drinks Soda, vinywaji baridi katika chupa11702 Canned and bottled Maji ya matunda ya makopo

juices and squashes na chupa11703 Fresh fruit juices, icecream Maji halisi ya matunda,

and other non- aiskirimu na vinywaji alicoholic drinks vingine visivyo vileo

11704 Purchased/prepared tea/ Chai/kahawa inunuliwayo na coffee consumed at home kunywewa nyumbani

Alcoholic drinks consumed at home Vileo vinywewavyo nyumbani

11801 Bottled beer Bia ya chupa11802 Kibuku and other local Kibuku na pombe nyingine za

brews kienyeji 11803 Wine and spirits Mvinyo na vinywaji vikali

Meals and drinks consumed outside Vyakula na vinywaji vitumiwavyo home mbali na nyumbani

11901 Bottled beer Bia ya chupa11902 Kibuku and other local Kibuku na pombe nyingine za

brews kienyeji 11903 Wine and spirits Mvinyo na vinywaji vikali11904 Breakfast, lunch, Chai ya asubuhi, mlo wa

dinner other bitings mchana/jioni, vitafunioincluding school mealsvingine pamoja na vyakula vya shuleni

11905 Tea, coffee, snacks, Chai, kahawa, vitafunio, drinks sweets, soft drinks, peremende, vinywaji baridi, ice-cream, fresh fruit juice maji ya matunda n.k.

Housing Makazi

Rents, Water and improvements to Kodi, maji na matengenezo ya nyumba house

20101 House rent Kodi ya nyumba20102 Repayment of housing loan Malipo ya mkopo wa nyumba 20103 Water bill Kodi ya maji20104 Land rent Kodi ya umilikaji ardhi20105 Insurance against fire Bima ya moto na wezi

and burglary 20106 Repairs and redecoration Ukarabati na mapambo ya nyumba

to house20107 Other improvements to Matengenezo mengine ya nyumba

house e.g. mosquito mfano waya wa kuzuia mbu n.k. gauze etc

51

Fuel and Light Nishati na mwanga

20201 Charcoal/coal Mkaa/mkaa wa mawe20202 Firewood Kuni20203 Kerosene, paraffin Mafuta ya taa20204 Gas Gesi20205 Electricity Umeme20206 Matches, lighters Viberiti20207 Candles and other fuel Mishumaa , nishati na

and light mwanga mwingine20208 Lamp/stove wicks Utambi wa taa/jiko

Furniture Fenicha

20401 Beds Vitanda20402 Chairs, sofas Viti, makochi20403 Tables Meza20404 Cupboards, shelves Kabati ya vyombo20405 Wardrobes, bookcases Kabati za nguo, kabati za vitabu20406 Chests of drawers, chests Makabati ya madroo, maboksi, n.k

boxes .20407 Mirrors Vioo20408 Wall-clocks Saa za ukutani20409 Pictures, carvings and Picha, vinyago na mapambo

other decorations mengine20410 Lamps, lampshades Taa na mapazia ya taa20411 Carpets, rugs, mats, Mazulia, busati, mikeka,

linoleum majamvi, n.k.20412 Animal skins Ngozi za wanyama20413 Other furniture Fenicha nyingine20414 Repairs to furniture ukarabati wa fenicha

Linen, bed - clothes Vitambaa vya kutandika, mashuka ya vitanda

20501 Sheets, pillow-cases Mashuka, foronya20502 Blankets Mablanketi20503 Towels Taulo20504 Table-cloths, napkins Vitambaa vya mezani, vya kulia20505 Bedspreads, covers Mashuka ya juu ya kitanda20506 Curtains Mapazia20507 Pillows Mito20508 Mattresses Magodoro20509 Mosquito nets Vyandarua20510 Other linen and bedclothes Mashuka na vitambaa vingine

52

Household durables Vifaa vya nyumbani

20601 Charcoal stove Jiko la mkaa20602 Kerosene stove Jiko la mafuta ya taa20603 Gas cooker Jiko la gesi20604 Electric cooker Jiko la umeme20605 Refrigerator, freezer Jirafu, jokofu20606 Air-conditioner, fan Mashine ya kupoza hewa, pangaboi20607 Water-heater, washing mashine ya kuchemsha maji,

and drying machine mashine ya kufulia na kukaushia20608 Sewing machine Cherehani20609 Iron (charcoal or Pasi ya mkaa/umeme

electric)20610 Other household durables Vifaa vingine vy nyumbani 20611 Repairs to household Ukarabati wa vifaa vya

durables nyumbani

Other household equipment Vyombo vingine vya nyumbani

20701 Pots, pans, bowls, Sufuria, mabakuli, birika ya batikettle of metal

20702 Pots of clay for cooking Vyungu vya kupikia na kuwekea maji and water

20703 Wooden bowls, trays and Bakuli za mbao, masinia na other wooden utencils/ vyombo vingine vya nyumbani

equipments (eg kinu etc) vya mbao (k.m. kinu n.k.) 20704 Dishes, plates Madishi, sahani 20705 Cups, glasses, mugs Vikombe, glasi, vikombe vikubwa20706 Knives, forks, spoons, Visu, uma, vijiko, n.k.

household tools20707 Thermos flask Chupa ya chai20708 Torches, batteries, Tochi, betri, glopu/balbu

bulbs20709 Lanterns,other lighting karabai,koroboi na chemli na vyombo

equipments using kerosene vingine vitumiavyo mafuta ya taa 20710 Baskets, washing tabs Vikapu, mikeka, n.k.20711 Brooms, brushes Fagio za vumbi, brashi za kusugulia sakafu20712 Other household equipment Zana zingine za nyumbani

Clothing and footwear Mavazi na viatu

Clothing for men and boys 15 years Mavazi ya wanaume wa miaka 15 na zaidi and over

30101 Khanzus Kanzu 30102 Hats, caps, turbans Kofia, vilemba n.k.30103 Suits, Kaunda suits Suti, suti ya kaunda30104 Trousers Suruali30105 Shorts Kaptula30106 Sarong Kikoi/shuka

53

30107 Jackets Jaketi30108 Pullovers Sweta30109 Coats, winter coats Makoti, makoti ya baridi30110 Rain coats Makoti ya mvua30111 Shirts Mashati30112 Underwear, Vest, Chupi, fulana za ndani/nje 30113 T-Shirts, Socks, neckties, Soksi, tai, leso za mkononi

handker-chiefs30114 Other ready-made clothes Nguo zingine za tayari 30115 Night-dress Nguo za kulalia30116 Cloth, cotton Nguo za pamba30117 Cloth, other Nguo za aina nyingine30118 Tailoring of new clothes Mashono ya nguo mpya30119 Repairs to clothing and shoes Ukarabati wa nguo/viatu30120 Leather shoes, boots Viatu vya ngozi, buti30121 Other men's footwear Aina nyingine za viatu vya kiume

Clothing for women and girls 15 Mavazi ya wanawake wa miaka years and over 15 na zaidi

30201 Khanga Kanga30202 Kitenge Kitenge30203 Sarees Sare za kihindi30204 Other national garments Mavazi mengine ya kitaifa30205 Dresses, frocks, gowns Nguo za kike, magauni 30206 Trousers Suruali30207 Skirts Sketi30208 Blouses Blauzi30209 Overcoats Makoti ya juu30210 Head gear Vitambaa vya kichwani30211 Scarves, shawls Skafu, mitandio 30212 Underwear Chupi za ndani30213 Stockings, socks, hand- Soksi ndefu, soksi, leso ya

kerchiefs mkononi30214 Other ready-made clothes Nguo mpya za tayari30215 Night-dresses Nguo za kulalia30216 Cloth, cotton Nguo za pamba30217 Cloth, other Nguo nyingine30218 Tailoring of new clothes Mashono ya nguo mpya30219 Repairs to clothing/ shoes Ukarabati wa nguo na viatu 30220 Leather shoes Viatu vya ngozi30221 Other footwear for women Viatu vingine vya kike

Clothing for children under 15 Nguo za watoto chini ya years miaka 15

30301 Shorts, trousers, suits Kaptula, suruali, suti30302 Dresses, frocks, gowns Nguo za kike, shumizi, magauni30303 Skirts Sketi30304 Shirts, blouses Mashati, blauzi30305 Sweaters Sweta

54

30306 Socks, handkerchiefs Soksi, leso za mikononi30307 Underwear, brassiere Chupi, sidiria30308 Baby clothes, nappies Nguo za watoto, nepi30309 Other ready-made clothes Nguo nyinginezo za tayari 30310 Cloth, cotton Nguo za pamba 30311 Cloth, other Nguo nyinginezo30312 Tailoring new clothes Mashono ya nguo mpya30313 Repairs to clothing/ shoes Ukarabati wa nguo/viatu30314 Footwear Viatu

Other personal effects Vitu vingine vya binafsi

30401 Yarn and sewing material Bidhaa za kushonwa na kusukwa

30402 Umbrellas, gloves Miavuli, maglovu30403 Handbags, wallets, Begi, mikoba, pochi, mikanda

purses, belts30404 Watches Saa30405 Sun-glasses Miwani za jua30406 Jewellery Vito vya thamani k.m. mikufu bangili, hereni 30407 Other personal effects Vitu vingine vya binafsi

Miscellaneous consumption and Matumizi mengine na Non - consumption money outlays Yasiyo ya kula

Medical care Matibabu

40101 Government hospitals, Hospitali za serikali, dispensaries (Vaccinat- zahanati (chanjo n.k.) ion etc.)

40102 Other hospital dispensaries Hospitali/zahanati zingine 40103 Private practitioners Hospitali za watu binafsi40104 Traditional healers Waganga wa jadi40105 Traditional medicine Madawa ya kienyeji40106 Dentistry, eye-testing, Uganga wa meno/upimaji

spectacles macho, miwani40107 Prescribed medicine Dawa zilizoidhinishwa na daktari40108 Household medicine Dawa za matumizi ya nyumbani40109 Other medical cares Huduma nyingine za matibabu

Personal care Usafi wa mwili

40201 Toilet soap Sabuni ya kuogea40202 Tooth-pastes Dawa ya meno40203 Hair-tonic, shaving cream Mafuta ya nywele, sabuni ya kunyolea40204 Razor, shaving-blades, Wembe, vifaa vya kunyolea

shaving equipments nywele, ndevu 40205 Perfumes Manukato40206 Lipstick, face-cream, Rangi ya mdomo, mafuta ya

powder uso, poda40207 Combs, hair-brushes, Shanuo, vitana, miswaki

55

tooth brushes 40208 Toilet paper Karatasi za chooni40209 Toilet articles for babies Vitu vya kufanyia usafi wa mtoto

40210 Hair-dressing for men Kinyozi kwa wanaume40211 Simple hair dressing for Msusi/kinyozi kwa wanawake

women (msuko, kukata nywele)40212 Services of beauty saloons Huduma za msusi, urembo 40213 Make-up kits and Cosmetics Vipodozi na mapambo40214 Hair clip Kibanio cha nywele40215 Hair drier, curling Mashine ya kukaushia/kutengenezea nywele40216 Other household and Vifaa vingine vya usafi wa

personal care nyumba na mwili

Education Elimu

40301 Shool fees Ada za shule40302 School uniform, equipments Sare za shule, vifaa,

school books vitabu vya shule 40303 Food at school Chakula shuleni40304 Other expenses (extra Matumizi mengine (mafunzo

class/tuition) ya ziada40305 Other in-kind expenses Michango ya hiari mingine

Entertainment and Recreation Burudani na starehe

40401 Books (not school books) Vitabu (visivyo vya shule) 40402 Magazines, newspapers Magazeti, majarida40403 Radio, rediogram, TV Redio, rediogramu, televisheni40404 Record/cassete-player, Redio kaseti, tepu rekoda

tape recorder40405 Records, tapes, cassettes Santuri, kanda za kunasia

musical instruments sauti, kaseti, vifaa vya muziki40406 Sports equipment, toys, Vifaa vya michezo, wana-

garden things sesere, vifaa vya kupumzikia/kuchezea katika bustani

40407 Films, prosessing of Filamu, kamera, darubini n.k.films cameras, binoculars

40408 Repairs to above Ukarabati wa vitu vilivyotajwa hapo juu 40409 Studio photography Nyumba ya kusafishia picha40410 Cinema, theatre Sinema, ukumbi wa michezo ya kuigiza40411 Subsciptions to sport Uanachama wa vilabu vya

clubs and other associations michezo na vyama vingine 40412 Dogs, cats and other pets Mbwa, paka, n.k. 40413 Other recreation and Shughulinyingine za

entertainment burudani/starehe

Transport Usafiri

40501 Private car, motorcycle Gari la binafsi, pikipiki, scooter sukuta/vespa

56

40502 Bicycle Baiskeli40503 Petrol, oil etc Petroli, oili, n.k.40504 Repair and maintenance of Utengenezaji na uwekaji gari katika hali

vehicle including spare parts nzuri pamoja na vipuri/spea40505 Registration tax, road Kodi ya usajili, barabara,

tax, driving licence, leseni ya kuendeshea, bimavehicle insurance ya chombo cha usafiri

40506 Train fares Nauli za gari moshi40507 Bus, lorry fares Nauli za mabasi na malori40508 Taxi fares Nauli za teksi40509 Boat fares 45 Nauli za mitumbwi na meli 40510 Air-fares, including Nauli za ndege na ushuru wa

airport fee uwanja wa ndege Cleaning materials etc Vifaa vya usafi, n.k.

40701 Detergents, in powder Sabuni za unga au majior liquid

40703 Laundry soap Sabuni za kufulia 40704 Cleansing and scouring Sabuni na madawa ya chooni powders for toilet etc40705 Inseticides, sprays, Dawa za kuulia wadudu, za

and coils for house kunyunyizia na kufukiza 40706 Polish for floor, Dawa ya kung'arisha sakafu,

furniture, shoes fenicha, viatu, n.k.40707 Other materials for Vifaa vingine vya nyumbani house

Domestic household services Huduma za nyumbani

40801 Laundry, dry-cleaning Vyombo vya kufulia/kufulia kwa mvuke

40802 Domestic servants (non- Watumishi wa nyumbani (siyo member of the household) wanakaya)40803 Other domestic household Matumizi mengine ya huduma

services (eg Fumigations nyumbani (kama kunyunyizia etc.) dawa, n.k.)

Cigarettes and tobacco Sigara na tumbaku

40901 Cigarettes Sigara40902 Snuff Ugoro40903 Pipe tobacco, pipes Tumbaku ya kiko, viko40904 Other smokables Vitu vingine vya kuvuta

57

Contributions to religions and Michango katika vyama vya Other organizations kidini na vinginevyo

41001 Mass organizations fees Mchango wa mshikamano 41002 Religions contributions Michango ya kidini, zaka, sadaka41003 Professional societies/ Mchango katika vyama vya

associations contribution kitaalamu 41004 Parents associations Mchango katika jumuia za wazazi41005 Another contributions Michango mingine

Other expenditure on services Matumizi mengine kwa ajili ya huduma

41101 Legal fees Ada ya huduma za kisheria41102 Other services expenditure Malipo mengine ya huduma

Telephone and postage Simu na stempu

40601 Telephone, telegrams Simu za mdomo, maneno 40602 Stamp and other postal Stempu na gharama zingine

services za posta

Taxes, fines, repayment of debts Kodi, faini, malipo ya mikopo

50101 Income tax Kodi ya mapato50102 House-tax, site-tax Kodi ya nyumba, kodi ya uwanja50103 Development levy Kodi ya maendeleo50104 Estate duty Ushuru wa eneo/shamba50105 Capital gains tax Kodi ya mtaji 50106 Sales tax Kodi ya mauzo50107 Stamp duty Ushuru wa stempu50108 Land rent Kodi ya umilikaji ardhi50109 Hotel levy Kodi ya huduma za hotel50110 Other taxes and fines Kodi na faini nyinginezo50111 Local voluntary contri- Michango ya hiari

butions to funds50112 Payment of debts for Malipo ya mkopo wa vitu/

goods/services huduma50113 Repayment of other loans Malipo ya mikopo na riba

including interest

Losses Hasara, uharibifu

50201 Theft Wizi50202 Rotary, gambling Kamari50203 Other losses Hasara nyinginezo

58

Money transfers Uhamishaji wa fedha

50301 Remittance to relative Msaada wa fedha kwa jamaa50302 Gifts to others (not Zawadi (kwa wasio wanakaya)

household members)50303 Dowry (bride price) Mahari50304 Contributions for weddings Michango ya harusi, mazishi

funerals and other ceremonies na sherehe nyinginezo 50305 Other expenditure on Matumizi mengine ya fedha

gifts and presents kwa ajili ya zawadi 50306 Social security and Mchango wa akiba ya uzeeni

pension funds contributions na kiinua mgongo 50307 Insurance premiums Mchango wa bima50308 Other premium payments Michango mingine

Savings Akiba

50401 Deposits to Commercial Kuweka akiba ya pesa katika Bank (NBC (1997), CRDB, benki za biashara, ushirika NMB, etc) na maendeleo vijijini, nyumba n.k.

50402 Deposits to Post Office uweka akiba katika benki Savings banks ya akiba ya posta

50403 Savings in Credit Unions Kuweka akiba katika vyama vya kukopa 50404 Savings in Cooperatives Kuweka akiba katika vyama vya ushirika 50405 Savings in Village Deve- Kuweka akiba katika mifuko

loment Fund ya maendeleo vijijini 50406 Shares, bonds Malipo ya ubia, n.k.50407 Comunity trusts Mifuko ya msaada ya kijamii50408 Government securities Dhamana za kiserikali50409 Life insurance Bima ya maisha50410 Loans given out Mikopo iliyotolewa50411 Informal savings Vibati/Upatu/mchezo

Investments Uwekaji rasilimali

50501 Purchase of plot for own Ununuzi wa kiwanja kwa house and for own farm ajili ya nyumba na shamba lako

50502 Purchase of iron sheets Ununuzi wa mabati kwa ajili for building of own ya kuezekea/kurekebishia/

house/alteration/extension kupanulia nyumba yako 50503 Purchase of asbestos for Ununuzi wa mabati ya

asbestos building of own kwa ajili ya kuezekea/ house/alteration/extension kurekebishia/kupanua nyumba yako

50504 Purchase of roofing Ununuzi wa vigae kwa ajili tiles for building of ya kuezekea/kurekebishia/ own house/alteration/ kupanulia nyumba yako extension

50505 Purchase of timber for Ununuzi wa mbao kwa ajili

59

building of own house/ ya kuezekea/kurekebishia/ alteration/extension kupanulia nyumba yako

50506 Purchase of cement for Ununuzi wa saruji kwa ajili building of own house/ ya kujengea/kurekebishia/

alteration/extension kupanulia nyumba yako50507 Purchase of other building Ununuzi wa vifaa vingine

materals for building vya ujenzi kwa ajili ya of own house/alter- kujengea/kurekebishia/ ation extension kupanulia nyumba

50508 Costs of labour of bui- Gharama za kujenga/kure- lding of own house/alte- kebishia/kupanua nyumba alteration/extension yako

50509 Other investments Rasilimali nyingine

Production Costs in Cash Gharama za uzalishaji

60101 Purchase of Tractor and Ununuzi wa trekta na vifaa its tools vya kulimia

60102 Purchase of ox-plough Ununuzi wa jembe la kukokotwa and its tools na ng'ombe na vifaa vyake

60103 Purchase of animals, Ununuzi wa wanyama, ndege poultry wa kufugwa

60104 Purchase of animals for Ununuzi wa wanyama kwa draughting purposes ajili ya kukokotea plau,

mikokoteni, n.k. 60105 Purchase of fishing boats Ununuzi wa mitumbwi ya kuvulia samaki60106 Purchase of fishing gear Ununuzi wa zana za kuvulia 60107 Purchase of hand cart or Ununuzi wa mkokoteni au toroli

wheelbarrow60108 Purchase of ox-cart Ununuzi wa mkokoteni wa

kuvutwa na ng'ombe60109 Purchase of Fertilizers Ununuzi wa mbolea60110 Purchase of Insecticide Ununuzi wa dawa za kuulia wadudu60111 Purchase of Seeds Ununuzi wa mbegu60112 Purchase of fodder for Ununuzi wa vyakula vya

animals, poultry feeds wanyama/ndege60113 Purchase of veterinary Ununuzi wa madawa ya mifugo

drugs and services huduma za mifugo k.m. josho 60114 Purchase of raw materials/ Ununuzi wa pembejeo/mali-ghafi

inputs ghafi60115 Purchase of stocks of Ununuzi wa vitu kwa wingi

products sold by households vinavyouzwa na kaya60116 Salary/wage paid out for Mshahara/ujira unaolipa

work done on own enterp- kwa kazi iliyofanyika rise (eg farm etc) katika mradi wako (k.m. shamba n.k.)

60

Hire of Farming equipment and Ukodishaji wa zana za other equipmentskilimo na vifaa vingine

60201 Hire of Tractor, plough Kukodisha trekta, plau na and other farming tools zana na zana nyingine za kilimo

60202 Hire of car/lorry (for Ukodishaji gari ndogo/lori carring farm products) kubebea mazao ya shamba)

60203 Hire of hand/ox-carts Ukodishaji wa mkokoteni wa kuvutwa na ng'ombe/mkono

60204 Repairs and Maintenance Utengenezaji na uangalizi of tractors/plough wa trekta/plau

61

DOMESTIC INCOME

1. Primary Income 1.1 Income from employment (in cash)

90101 Wages & Salaries90102 Allowances e.g. Acting,travelling (used for household purpoes only) etc.90103 Directors fees90104 Bonuses90105 Estimated taxes and social security contributions period (if wage quoted

post-tax)90106 Other incomes from employment in cash

1.2 Income from employment (in kind)

90201 Value of payment received in the form of food, crops, and animals90202 Value of payment received in the form of subsidized housing90203 Value of payment received in the form of subsidized transport90204 Value of payment received in other forms (e.g. uniforms, washing soap etc.) 90205 Employer's contribution to social security and similar schemes

1.3 Income from non-farm self employment

90301 Gross revenue received in cash from services given out90302 Gross revenue received in cash from sales of purchased goods (not own

produced)90303 Gross revenue received in cash from sales of goods made by the household90304 Gross revenue received in cash from sales of gathering, hunting and fishing

products as well as other activities 90305 Revenue received in the form of goods and services90306 Value of domestic consumption of output90307 Amount of cash income used for household purposes/domestic consumption

1.4 Household agricultural income

90401 Revenue received in cash from sale of staple grains, field crops and cash crops (including mabua)

90402 Revenue received in cash from sale of roots, fruits, vegetables and other crops harvested piecemeal

90403 Revenue received in cash from sale of processed or transformed own crop products

90404 Revenue received in cash from sale of livestock and livestock products (including samadi)

90405 Value of consumption of own agricultural (and livestock) produce

1.5 Income of members from producers' cooperatives

90501 Revenue received in cash from non-farm producers' cooperatives

62

90502 Revenue received in form of goods/services from non-farm producers' cooperatives

90503 Revenue received in cash from agricultural from producers' cooperatives90504 Revenue received in form of goods/services from agricultural farm producers'

cooperatives

2. Property income received

2.1 Imputed rent of owner occupied dwellings

91101 Imputed rent of owner occupied dwellings

2.2. Interests

90201 Interests from savings and deposit accounts91202 Other interests received (e.g. from sources as bonds and loans given to other

prices)

2.3 Dividends

91301 Dividends received

2.4 Rent received

91401 Cash income from renting house91402 Cash income from renting land91403 Cash income from renting draught animals91404 Cash income from renting agricultural equipments91405 Cash income from renting assets of non-farm enterprises91406 Value of received in form of goods and services91407 Value of imputed rent from own occupied dwellings

3. Current transfers and other benefits received

92101 Cash received as accident, injury, sickness and disability benefits from employer or other authority

92102 Cash received as family allowances from employer92103 Cash received from other social assistance grants92104 Cash received from pension schemes and insurance annuity; interests92105 Cash received from other current transfers (e.g. kibati/upatu/mchezo etc.) 92106 Value of Remittances received

4. Other receipts

93101 Gifts received in cash93102 Cash from sale of possessions (e.g. used furniture, household appliances etc)93103 Withdrawal from savings93104 Cash received from lottery prizes93105 Loans obtained

63

93106 Loans repayment93107 Compensation received93108 Lump-sum inheritances93109 Maturity payment (other than annuities) of life insurance policies93110 Other lump-sum payments (e.g. dowry, gratuities, value of educational

scholarships etc)

64